Kiba mwenyewe namuona hakutumia busara walah nilikuwa namwona wa maana kumbe hamnazo, yani manager na mapenzi wapi na wapi hawa ukute walikuwa wananjunjana long time sema ndo wameonyesha live, mapenzi na kazi hayaendi ngoja kiba achepuke.
Vtuko tupu hivi ndo hawa wasanii wanaigana kuchukua maveterani tu, nadhani joketi ajifunze sasa hawa bongo fleva ni umiza kichwa daily ngono, kuchukuliana chah
Huyo ana kampuni yake, ya Portal Noveli, sashiv katulia na kazi na familia yake. Huwa anapost vitu vya maana sana (very educational) kwenye instgram yake.
Huyu kiba naye loh had manager wala kanishinda tabia. Seven ni mdada mrembo inaonyesha wa long ila naye inaonyesha aliendekeza kula ujana na kusahau kuhusu family issues.
Na Seven ni zaidi ya manager wa Kiba kwa sababu pia ni boss wa talents pale Rockstar4000. Rockstar4000 ni mkono wa Sony!! Sasa unapotoka na mtu wa aina hii, unatakiwa kuwa very cautious kwa sababu, mkivurundana, unaweza kukuta mtu anawapa attention zaidi wenzako kuliko wewe ili mradi tu!!!