MTOTELA
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 159
- 196
Gwajima aongea na waandishi wa habar na waumini wake amesema kuwa paul makonda ana wivu wa kimaendeleo alioupata yeye ndio maana anamsakama amesema suala la yeye kumilik chopa linamuuliza sana gwajima ndio maana anamsakama. Akaenda mbali zaidi akasema kwa nn hakumtaja lizy 1 ambaye amekuwa akisakamwa na waty wengi hata dr. Slaa amewahi kumtaja hadhan kujihusisha na madawa.