CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
Hivi mtu akipataga GPA ya ngapi haruhusiwi kupiga masters?? Maana mi nilisomaga tu hata sikuwa na habari za kujua kama wapo wanaokosa hiyo nafasi..Mimi ninavyo jua unasoma postgraduate diploma endapo unataka kubadilisha kozi tofauti na ile ya undergraduate.. Au kama hujafikisha GPA ya kusoma masters ndio unafanya post ukifahuru ndio utaendelea na masters