Postgraduate diploma

Postgraduate diploma

Lindembwee

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
144
Reaction score
94
Habari jf. Naombeni ushahuri kati ya hizi procurement & supply chain management, accountancy, and business administration.
 
Undergraduate ulipata G.P.A ya ngap?
 
Mm nitoke nje kidogo ya hapo.. Hiyo postgraduate diploma inakuwaje na ina utofauti gani na Master degree au Postgraduate degree??
 
Mm nitoke nje kidogo ya hapo.. Hiyo postgraduate diploma inakuwaje na ina utofauti gani na Master degree au Postgraduate degree??
Mimi ninavyo jua unasoma postgraduate diploma endapo unataka kubadilisha kozi tofauti na ile ya undergraduate.. Au kama hujafikisha GPA ya kusoma masters ndio unafanya post ukifahuru ndio utaendelea na masters
 
Soma Masters ya Actuarial Science UDSM au nenda Ifm soma Masters ya Insurance and Actuarial Science baadae mambo yakiwa fresh utafanya paper la Actuaries mzee. Safari njema
Broh sina background nzuri ya hesabu.. Actuarial ni full hesabu... Nakumbuka tulikuwa na module ya fundamental ya actuarial science.. Watu tuliibeba kama wote.hahah
 
Soma Masters ya Actuarial Science UDSM au nenda Ifm soma Masters ya Insurance and Actuarial Science baadae mambo yakiwa fresh utafanya paper la Actuaries mzee. Safari njema
Advance nilisoma hgl mkuu.. Pale UDSM nilienda wakaniambia wanataka hesabu. . sema sijajua hii masters ya ifm inakuwaje
 
Ndug

Ndugu, Nina mpango wa kusoma postgraduate, sasa naomba ushahuri IPI kati ya hizo ni nzuri ukilinganisha na upatikanaji wa ajira
Hapa ndio umeshafeli kabla ya kuanza hayo masomo.

Kufikiria kuajiliwa ni mawazo ya ujima si ya karne hij, mtu makini hawezi kuwaza kutumiwa kwa faida ya wengine.

Focus kujituma mwenyewe na unufaike mwenyewe haya ndio mawazo kibepari.
 
Advance nilisoma hgl mkuu.. Pale UDSM nilienda wakaniambia wanataka hesabu. . sema sijajua hii masters ya ifm inakuwaje
Nenda Ifm Hawa consider matokeo ya I level lakini mkuu inatakiwa uwe unajua hesabu kuna Business Mathematics nk ni hatari sana
 
Hapa ndio umeshafeli kabla ya kuanza hayo masomo.

Kufikiria kuajiliwa ni mawazo ya ujima si ya karne hij, mtu makini hawezi kuwaza kutumiwa kwa faida ya wengine.

Focus kujituma mwenyewe na unufaike mwenyewe haya ndio mawazo kibepari.
Ndugu yangu wengi unao waona walianza na kuajiliwa baadae wakajiajili wenyewe.. Kati ya kumi utakuta wawili ndio wamejiali soon after kumaliza masomo yao.. Afu kumbuka hili ni janga la taifa kutokana na mifumo mibovu ya Elimu tuliyo kuwa nayo.. Kwahyo unabidi utambue mzizi wa tatizo.. Ndio huanzie huko.
 
Back
Top Bottom