Posta Tanzania mnafanya kazi kienyeji sana. Huu ni upuuzi

42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
6,833
8,811
Dah hawa jamaa wamenikera mno.

Mwezi wa 8 niliagiza mzigo China, Ulifika Tangu siku 10 zilizopita. Nikaenda Posta HQ wakaomba Tracking namba nikawapa, wakaangalia wakakuta kweli umefika. Nikaandikiwa namba ya mzigo na nikaelekezwa ofisi ya kwenda kuchukua mzigo wangu palepale HQ.

Sasa kwenda kuchukua mzigo nikaambiwa Mizigo imefungiwa kwa sababu kuna upande wanafanya ukarabati. Kutoka siku hiyo kila nikienda ni lugha ni "bado hawajamaliza ukarabati" na kibaya zaidi hawasemi kwamba huo ukarabati unaisha lini.

Aiseee hawa jamaa wanazingua kishenzi.
 
Afu wanatumia lugha rahisi bila kujali muda, usumbufu na gharama unazopoteza. Inakera sana kaka. Me yamewahi nikuta hayo . Kila nikienda naambiwa muhusika katoka afu mwisho wa siku naambiwa nilipie store kwa kuchelewa kuchukua mzigo duh! Tulibishana hadi basi
 
ASA ukarabati unahusiana nini na mizigo ya watu ?
But Mimi nimepata mzigo Wang kwa posta ya wilaya umechukua siku 5 kutoka bandarini hadi kunifikia huku Nkasi.
Dah hawa jamaa wamenikera mno.

Mwezi wa 8 niliagiza mzigo China, Ulifika Tangu siku 10 zilizopita. Nikaenda Posta HQ wakaomba Tracking namba nikawapa, wakaangalia wakakuta kweli umefika. Nikaandikiwa namba ya mzigo na nikaelekezwa ofisi ya kwenda kuchukua mzigo wangu palepale HQ.

Sasa kwenda kuchukua mzigo nikaambiwa Mizigo imefungiwa kwa sababu kuna upande wanafanya ukarabati. Kutoka siku hiyo kila nikienda ni lugha ni "bado hawajamaliza ukarabati" na kibaya zaidi hawasemi kwamba huo ukarabati unaisha lini.

Aiseee hawa jamaa wanazingua kishenzi.
 
Shirika la posta tanzania
Linazingua sana ukiagiza kitu china kinatumia siku 7-11 kufika hapa tanzania ila kukipata hapa Arusha hutumia zaidi ya wiki mbili
 
Huu upuuzi wa posta nimechana nao. Kwa sasa mizigo yangu ya gharama natumia kmapuni ya shippng inaitwa GHM, kwa ndege siku saba nachukua mzigo wangu tena usafirishaji wao ni15$ kwa kilo moja ( 1kg)

Kwa meli ni wastani wa 40days.
--------------------------------------------------

(PLEASE IGNORE HAWA JAMAA, KWA SASA NI KAMA WAMEINGIA KWENYE MAMBO ZA UTAPELI. PLEASE ACHENI KUFANYA NAO BIASHARA. KAMA UNA SWALI PLEASE NIPM au NIPIGIE 0788904003)
---++++++++++++++++----------------
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tusaidie address yao tuwajaribu kama wapo poa Mkuu
+6011-39893128 - ofisi yao China
+255692981588 - ofisi yao Tanzania

GHM SHIPPING CLINIC.. - whatsapp group yao.

Wanaitwa GHM SHIPPING CLINIC.

Kama upo tembelea ofisi zao zilizopo SHEKILANGO opposite na ROMBO GREENVIEW HOTEL.

--------------------------------------------------
--------------------------------------------------
(PLEASE IGNORE HAWA JAMAA, KWA SASA NI KAMA WAMEINGIA KWENYE MAMBO ZA UTAPELI. PLEASE ACHENI KUFANYA NAO BIASHARA. KAMA UNA SWALI PLEASE NIPM au NIPIGIE 0788904003)
---++++++++++++++++----------------

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Msaada, naomba mawasiliano na hawa watu aisee

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
+6011-39893128 - ofisi yao China
+255692981588 - ofisi yao Tanzania

GHM SHIPPING CLINIC.. - whatsapp group yao.

Wanaitwa GHM SHIPPING CLINIC.

Kama upo tembelea ofisi zao zilizopo SHEKILANGO opposite na ROMBO GREENVIEW HOTEL.

--------------------------------------------------
--------------------------------------------------
(PLEASE IGNORE HAWA JAMAA, KWA SASA NI KAMA WAMEINGIA KWENYE MAMBO ZA UTAPELI. PLEASE ACHENI KUFANYA NAO BIASHARA. KAMA UNA SWALI PLEASE NIPM au NIPIGIE 0788904003)
---++++++++++++++++----------------

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Posta wako vizuri hujawajulia tuu, nilienda kuchukua spare za machine wakapiga hesabu ya invoice wakasema nilipe laki 8, nikampa mhusika laki na nusu nikalipa elfu sitini jumla laki mbili na Kumi nikasepa na mzigo.
 
Case yangu na yako ni tofauti...
 
Posta wako vizuri hujawajulia tuu, nilienda kuchukua spare za machine wakapiga hesabu ya invoice wakasema nilipe laki 8, nikampa mhusika laki na nusu nikalipa elfu sitini jumla laki mbili na Kumi nikasepa na mzigo.
hiyo ulitoa rushwa na hukufuata utaratibu wa kiofisi
 
Mrejesho: Leo nmeenda kufata mzigo wangu wamenipa bila maneno maneno.

Niliwapania kwelikweli.
 
Back
Top Bottom