Posta nendeni wenye moyo tu.

Posta nendeni wenye moyo tu.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Ukitaka kujua mwanamke wako ni mkali basi nenda naye posta mpya ya dar, walahi utamuacha kituo cha daladala maana ndo utajua kumbe wanawake wakali wapo na wako si kitu, kila nikikanyaga posta nakuwa mzito kutoka, nitajizungusha hadi jioni hata kama sina cha kufanya, kisa niwaone wanawake wakali, leo nimepishana na mwanamke nikashika kichwa, kavaa kingua chake, ilinibidi nisimame kumuangalia na kujisemea hii dunia kuna watu wanafaidi nikimaanisha jamaa anayetoka na huyo binti, mitaa ile ya jaymo, kama mwanamke huyo ni member humu basi walau tutafutane.
 
Usirudie tena kushikashika watu vichwa ebo! Kumbe ndo wewe!
 
Ukiwa busy kusaka manoti uwezi kutambuwa kama kuna wanawake wazuri au wabaya. Mimi kila siku nipo posta naona wanawake ni walewale tu. Kama wewe ngono ndilo kitu kilicho kuwepo kwenye akili yako, ndio maana unawaona. Na usione vyang'ara vimegaramiwa au kujigaramia. Na siyo vyote ving'avyo ni dhahabu vengine vyupa, jiangalie
 
Hongera, ila ujue humo pia kuna vuma vakavu na zahabu
 
Unatamaa na usipoangalia utaishia kula kwa macho!!! Wewe ushindwe kumpendezesha wa kwako ukatamani waliopendezeshwa na wenzio utashaaaaaa
 
nilivosoma heading nilidhani wazungumzia foleni asee
 
kwa staili yako hiyo ya maisha, kazi unayo!
 
hongera sana mkuu kama kweli huwa huoni.
Ukiwa busy kusaka manoti uwezi kutambuwa kama kuna wanawake wazuri au wabaya. Mimi kila siku nipo posta naona wanawake ni walewale tu. Kama wewe ngono ndilo kitu kilicho kuwepo kwenye akili yako, ndio maana unawaona. Na usione vyang'ara vimegaramiwa au kujigaramia. Na siyo vyote ving'avyo ni dhahabu vengine vyupa, jiangalie
 
Eee ndugu yangu r u serious???I think something wrong somewhere.kawatafute ufaid na wew!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom