Pale magogoni kulikuwa na magogo watu wanavuka kwenda kmboni.Namimi nisaidiwe asili ya magogoni pale kwenye office kubwa za Tanganyika
Mulize amekula Christmas ngapi mpaka sasa hiv hapa mjini?Aisee sawa mkuu,naona umekuja majuzi hapa.
KARIBU MJINI.
Khaaa.... Umechelewa sana...SI ubungo
Sio kila kitu kinapaswa kuletw JF. Unatakiwa uwe na ushirikiano na watu na kuwauliza vitu vidogo kama hivi sio lazima ulete JFMpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Okay mutoto wa mujini, sasa niambie hayo makaburi ya Kivukoni Front yalikuwa wapi na sehemu gani ili nikuweke kwenye bahasha.Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
Tatizo hujui hata kivukoni front ni IPI? Tafuta MTU akuelekeze kwanza ujue!Okay mutoto wa mujini, sasa niambie hayo makaburi ya Kivukoni Front yalikuwa wapi na sehemu gani ili nikuweke kwenye bahasha.
Enzi kibao cha Karibu Dar es Salaam kilikua pale Fire.Wakati unakuja dar ulikuta stand ya mabasi iko sehemu gani boss?
Unaingia bahasha taratibu.Tatizo hujui hata kivukoni front ni IPI? Tafuta MTU akuelekeze kwanza ujue!
Nimekuambia Leo hii ndio pana bustani pale posta jioni watu wanakaa mbele ya Toyota showroom.
Tunapoteza muda andika unalojua sio kujaza Uzi bila sababu.Unaingia bahasha taratibu.
Sasa niambie, ni sehemu ile Mbele ya Toyota Showroom?
Au siyo?
Sasa mutoto ya mujini hapo makaburi yaliondolewa lini?
Kama ulisoma Forodhani basi hukufaulu.Tunapoteza muda andika unalojua sio kujaza Uzi bila sababu.
Naina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.
Makaburi ya Makumbusho yalihamishwa toka barabara ya Ocean (Ocean Rd).
Posta au Azania Front hapakuwahi kuwepo makaburi.
Lumumba hata akiniomba nimwelekeze choo kilipo namdanganya ajinyee apate adabuSio kila kitu kinapaswa kuletw JF. Unatakiwa uwe na ushirikiano na watu na kuwauliza vitu vidogo kama hivi sio lazima ulete JF
Kama hazijarudishwa vijijini basi zitakua palepale.
Posta ya zamani ~ Pembeni ya NBC (Baharini)
Posta Mpya ~ Mnaposhukia kwenye daladala (Mkabala na CRDB Bank, Benjamin Mkapa Towe, St. Albano, YWCS)
aisee,huo mwaka mimi nilikuwa std 2 hapo hapo forodhani.Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
kipindi napata akili ya kiutambuzi,stand ya mabasi ilikuwa mnazi mmoja.SI ubungo
nimekula sana kashata za wale jamaa walikuwa wanauza kahawa chini ya Ile mikungu.ila mihogo Ile ya njano mpaka namaliza std 7 sikuwahi kuila,kisa Ile rangi nilikuwa siilewi inatokea wapi,kumbe mawese.Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
Kumbe maneno miiiingi humu hata posta hupajui vizuri... CCM bhna
kigoma mbali mkuu.Kumbe maneno miiiingi humu hata posta hupajui vizuri... CCM bhna
Yeye anajua ofisi za Lumumba tu anapochukuliaga bk 7Kumbe maneno miiiingi humu hata posta hupajui vizuri... CCM bhna
Mnazi MmojaWakati unakuja dar ulikuta stand ya mabasi iko sehemu gani boss?