ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,050
- 61,376
umezaliwa hivi karibuni ungeuliza kwanza hata kwa jirani yako ungepata jibu in short kabla ya kuhamia hapo unapopajua zamani ilikuwa wanapoita posta ya zamaniMpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Ha ha haKumbe maneno miiiingi humu hata posta hupajui vizuri... CCM bhna
Naina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.Mkuu ukiingia ktk jengo la posta ya zamani angalia kushoto na kulia kwenye kuta utaona majina ya askari waliopigana vita ya dunia.
Hayo majina ni watu waliozikwa hapo kwenye hiyo bustani inayoitwa kivukoni front, baadae makaburi yakahamishiwa makumbusho ilipo millenium tower nadhani mengine yakapelekwa ununio.
Kwahiyo ilo jengo linalotazamana na bahari ni jengo kongwe sana.
Rudi kasome vzrNaina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.
Makaburi ya Makumbusho yalihamishwa toka barabara ya Ocean (Ocean Rd)
Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.Naina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.
Makaburi ya Makumbusho yalihamishwa toka barabara ya Ocean (Ocean Rd).
Posta au Azania Front hapakuwahi kuwepo makaburi.
UTAKUWA UMEKANYAGA MDUDU.Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
SI ubungoWakati unakuja dar ulikuta stand ya mabasi iko sehemu gani boss?
Aisee sawa mkuu,naona umekuja majuzi hapa.SI ubungo
Namimi nisaidiwe asili ya magogoni pale kwenye office kubwa za TanganyikaMi nisaidie tu pale Gerezani, gereza lilikuwa pande ipi?