Haya ni matembezi ya Dar pekee au hata sisi wa mkoani???
Mi nlitembea old moshi Mowo hadi Kidia kwenda shule miaka minne...Kilimanjaro.
Field ya kazi nilifanya Arusha: nilikuwa natembea kutokea Njiro FFU hadi Arusha mjini, Meru posta.
Shinyanga tulitembea from Kishapu to Kahama...kwa wakwe.
Sumbawanga to Katavi kutafuta mganga...Rukwa hiyo.
Hapa Dar bado...ila nshawahi kupiga mbizi kutoka upande wa magogoni kuelekea kigamboni...kutokana na agizo la mh. Waziri