Posta kuu Dar imehamia Kijitonyama? Nina mizigo wiki 2 sasa imekwama huko

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Yaani wanakera sana hii ni week ya pili mizigo ilitakiwa ifike posta niloagiza mpaka sasa hivi holaa! Mfanyakazi wa local kaniambia niende posta yao kuu sijui ndo makao makuu yamehamia Kijitonyama? Je ni kweli? Maana sielewi elewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nenda posta huko ufatilie mizigo sasa hapa tukisaidie nini?kutoa mizigo? kulalamika? Kukuonesha posta zilipo?

Kama mzigo umekwama nenda ulipokwama tracking zinasoma, waambie naona mzigo wangu upo hapa. Over

Dumelang
 
Yaani wanakera sana hii ni week ya pili mizigo ilitakiwa ifike posta niloagiza mpaka sasa hivi holaa! Mfanyakazi wa local kaniambia niende posta yao kuu sijui ndo makao makuu yamehamia Kijitonyama? Je ni kweli? Maana sielewi elewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
huu utaratibu umeanza una kama miezi kadhaa ivi, mzigo ukitoka Posta kuu (kule Posta) unaenda kwanza posta ya Kijitonyama, then ndio unapelekwa posta ndogo

wakati zamani unaenda direct mpaka posta ndogo

huu ni ujinga, wameongeza mianya ya mzigo kuibiwa plus unasubiri sana mpaka kero
 
Back
Top Bottom