JF Senior Expert Member my as**!!...ivyo ni vyeo tu, na haupewi kwa kupost kitu chenye maana...you have no option dogo.
Najua unajisikia raha sana kubishana na JF Senior Expert Member, ambae mchango wangu unatambulika humu jamvini, tofauti na wewe unayejitutumua, keep it up, na mimi sitakuvunja moyo, nazidi kukupa matumaini.
Inawezekana signature yangu hujaiona, ila ipo.
Itafute uisome, au ukiona chenga ianzishie thread, memba watakupa majibu.
Adios...
sorry kongosho, nakuheshim kijana wangu, mshkaji analeta dharau kwa kuendekeza ligi zisizo na maana...ila haina mbaya tutaenda sawa tu.@bagah & mphamvu
what's going on here?
Am listening...
JF Senior Expert Member my as**!!...ivyo ni vyeo tu, na haupewi kwa kupost kitu chenye maana...
ingekua hivyo ww ucngepata, maana una pumba 3000 na zaidi...so icho cheo umepewa kwa kulisugua jamvi muda mrefu kwa kulikalia, na sio kwa post zako...upo jombaa?
ha ha ha...so unafurahi kufanana na kinyeo...kweli ww ni "mavi"naona tartiiib, unaelekea kwenye ukweli.
Awali ulizungumzia uchoko, ukaja ukadai unapafahamu Magomeni, sasa hivi umekuja na sera za 'your ass'!
Itafahamika tu mdogo wangu...
Asee....kijana naona unatangaza kifuko chako cha mbolea.
Unfortunately hakuna mteja hapa...
Jumlisha na hiyo ID yako basi napatwa na shaka kabisa.
Hivi unalijua baga wewe?
kumbe ndio maana hawataki kuhamisha IKULU eh?
@bagah & mphamvu
what's going on here?
Am listening...
na mie yangu macho, nasubiria nani ataanza kulia loh...
Tatizo unalamba stemp kwenye picha
lamba kule kunako nata
Mi nlijua mi mwenyewe hapa jamvini ndio naweza ligi!! kumbe wapo wakali wangu!! wakishindwana hapa wataftane kwenye ile ligi ya m2 mbili ile ndio funga kazi.
POPOBAWA.
sina mda mchafu wa kulumbana na hao viumbe mimi.
We angalia ID yake, njoo kwenye avatar, halafu malizia na post zake.
Hauhitaji mchambuzi wa masuala ya kijamii akufahamishe kuwa huyu kijana yuko katika hatua za mwisho za kupata uraia halali wa Uingereza.
Sie yetu macho ati...