Posta kutamu bwana, asikuongopee mtu.

sio kosa lako ndio una xmas moja hapa mjini....pumbaa!!
 
hii gari kubwa mdogo wangu, utamaliza mafuta yako bureeh?
Kwa taarifa yako sina hata X-Mas moja hapa mjini, zote huwa zinanikuta kwetu, mimi kabila kubwa wewe!
Afu kama unataka ligi na mimi tangaza maazimio, sio unipige ngumi za kuvizia halafu unajificha.
Sawasawa?
 
kiukweli mkuu umekaa kitaarabu zaidi...ckuwezi mkuu!!!
 
suala la taarab na kunishindwa kwako hakuna uhusiano mdogo wangu.
Unachotakiwa ni kusema kama unamaindi ligi na mimi, kisha nitangaze uadui na wewe, na sio kunivizia kwenye thread na kunijia juu.
Umenunua kesi mwenyewe halafu unaomba poo mkuu?
 
mbona unaonekana unapenda penda ligi,..maana kila kona unaandika ligi..
mbona izo tabia ni kama za kicho***?peleka magomeni izo tabia zako...ebu nipotezee mkuu, tusiharibiane siku
 
sawa cho** mkubwa.
Huko Magomeni kuna nini in relation to hiyo tabia?
Inaonekana una taarifa za kutosha wewe,
enhe? Hembu nijuze...
 
nakufananisha na mnyama fulani ivi wakike
 
sawa bingwa wa kufananisha.
Mimi nakuona wewe binadamu wa kawaida tu, ila unayehitaji uangalizi wa karibu.
Kwani uko katika kipindi cha mpito kuelekea uchizi.
 
tehe tehe!!!asante maana umeongea kwa uzoefu mkubwa..
kwa kua inaonekana ww tayari umepitia icho kipindi, na sasa umeshakua CHIZI uliebobea...
 
naona tofauti zetu in terms of upeo wa kufikiri ndio wenye unatufanya tusielewane.
Kama vipi pitia signature yangu hapo chini,
then mnakasha uendelee!
 
hata ivyo nakupa umaarufu sana kujadili mada na ww!!haswa utumbo kama huo hapo juu...
na ulivyo mwehu zaidi, hata sign. huna unasema niangalie chini, unapajua chini ww?
 
you have no option dogo.
Najua unajisikia raha sana kubishana na JF Senior Expert Member, ambae mchango wangu unatambulika humu jamvini, tofauti na wewe unayejitutumua, keep it up, na mimi sitakuvunja moyo, nazidi kukupa matumaini.
Inawezekana signature yangu hujaiona, ila ipo.
Itafute uisome, au ukiona chenga ianzishie thread, memba watakupa majibu.
Adios...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…