Post za Wizara ya Afya hivi zinatoka lini?

Deushinscky

Member
Jul 14, 2014
75
39
Jaman naombeni mwenye uelewa wa kufahamu lin ajira za uuguzi ni lini zitatoka kwa maaana kila mtu anaongea lake hata bunge nalo linatoa maelezo ambayo yanakingana naomba msaada kwa hilo
 
Ukipata majibu nami nijulishe!
Nilikataa tu kujaza server ya JF
 
Hazitoki ndio kwanza serikali imesitisha ajira mpya hd miundo ikirekebishwa na watumishi hewa kuondolewa
 
Jamani kupitia humu Kama kuna mtu ana hospitali au dispensary anisaidie nije nifanya kazi au ya kujitolea tu ili Kama ataridhika na Mimi ataniajiri nimechoka kusubiri serikali na namuakikishia sitahama niende popote pale.nimesomea uuguzi (nurse midwife) nilisomea mvumi. Sifa yangu pia nina uwezo wa kufanya kazi kama daktari.
 
Ww ni ke au me?
Leseni unayo?
 
Hivi si nilisikia ajira zote za serikali zimesitishwa kwa muda hadi wamalize marekebisho wanayofanya?!
 
Jamani kupitia humu Kama kuna mtu ana hospitali au dispensary anisaidie nije nifanya kazi au ya kujitolea tu ili Kama ataridhika na Mimi ataniajiri nimechoka kusubiri serikali na namuakikishia sitahama niende popote pale.nimesomea uuguzi (nurse midwife) nilisomea mvumi. Sifa yangu pia nina uwezo wa kufanya kazi kama daktari.

Unauwezo wa kufanya kazi Kama daktari? Wewe ni daktari? Umesomea udaktari?
 
jaman eeeeh! na mm nimeingia humu ndani kama kuna mtu ana hospital, dispensary au pharmacy tusaidiane kazi ata za kujitolea, nimesomea pharmacy leseni ipo naona ujuzi unalala tu.
 
Poleni saana ndugu zang,,msikate tamaa.mwenye nchi alisema zitatolewa baada ya miez miwil,lakin ni kaul ambayo inaweza ikawa ya kisiasa zaid.wenda zkatolewa hata baada ya miez sita au mwaka
 
Back
Top Bottom