Kwa kifupi serikali ya J.K, ilipeleka pesa za hizo ajira za waalimu wapya huko Igunga ili kulikomboa jimbo na kumpa DK Kafumu ulaji ndiyo maana hata mishahara ya watumishi wa serikali wa kada uliyoulizia ilichelewa sana kutoka. Kwa ushuri wangu wewe tafuta sehemu ya kujishikiza kwa mda ili siku pesa zikipatikana mtaajiriwa.
Karibu sana kwenye wizara ya wababaishwaji na wapigwa danadana wasiojua kudai haki zao za msingi kwa kigezo cha haiba!!