post za Ualimu za watu wa shahada

batadume

Senior Member
Mar 4, 2011
101
7
Hallo nauliza kwa yeyote mwenye taarifa za post za walimu wa degree zinatoka lin?????????????????
 
walim wa diploma (stashahada, bado hawaajiriwa) wewe unaulizia shahada!!
 
Vyuo vingi havijatoa vyeti, watapanga vipi waalimu?
Kazi kweli. Kama vyeti vya UDSM vinatoka baada ya mwaka mmoja basi walimu watakuwa hawajaajiriwa hadi Septemba mwakani? You must be joking
 
Wanasubiri wanaofanya suplementary exams wamalize ili watakaofaulu nao wapangiwe vituo vya kazi.
 
Kwa kifupi serikali ya J.K, ilipeleka pesa za hizo ajira za waalimu wapya huko Igunga ili kulikomboa jimbo na kumpa DK Kafumu ulaji ndiyo maana hata mishahara ya watumishi wa serikali wa kada uliyoulizia ilichelewa sana kutoka. Kwa ushuri wangu wewe tafuta sehemu ya kujishikiza kwa mda ili siku pesa zikipatikana mtaajiriwa.

Karibu sana kwenye wizara ya wababaishwaji na wapigwa danadana wasiojua kudai haki zao za msingi kwa kigezo cha haiba!!
 
M2 wangu unakumbuka wale wamwaka jana (2011) walipangwa january 20 so i think it will be the same, so be...............
 
post zaweza toka jumatatu tareh 17-10-2011:; tumaomba muwewavumilivu kama wananchi wa igunga, zoezi limesha kamilika tunasubiri hazina wakamilishe mchakato wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom