post za Ualimu za watu wa shahada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

post za Ualimu za watu wa shahada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by batadume, Oct 10, 2011.

 1. b

  batadume Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hallo nauliza kwa yeyote mwenye taarifa za post za walimu wa degree zinatoka lin?????????????????
   
 2. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  serikali imesema haitak tena walim coz wametosha
   
 3. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuna shule wanahitaji mwalimu wa kufundisha physics F 5&6. Awe na masters ya sayansi preferably Msc. in physics. Ila shule yenyewe haipo mjini.
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  walim wa diploma (stashahada, bado hawaajiriwa) wewe unaulizia shahada!!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Vyuo vingi havijatoa vyeti, watapanga vipi waalimu?
   
 6. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli. Kama vyeti vya UDSM vinatoka baada ya mwaka mmoja basi walimu watakuwa hawajaajiriwa hadi Septemba mwakani? You must be joking
   
 7. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  diploma mbali, wa chet2 bado. Ila hyo cyo sababu ya kufanya wa shahada wasiajiriwe
   
 8. S

  Spellan JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nasikia mwezi huu wa kumi ila ni tetesi tu.
   
 9. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wanasubiri wanaofanya suplementary exams wamalize ili watakaofaulu nao wapangiwe vituo vya kazi.
   
 10. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi serikali ya J.K, ilipeleka pesa za hizo ajira za waalimu wapya huko Igunga ili kulikomboa jimbo na kumpa DK Kafumu ulaji ndiyo maana hata mishahara ya watumishi wa serikali wa kada uliyoulizia ilichelewa sana kutoka. Kwa ushuri wangu wewe tafuta sehemu ya kujishikiza kwa mda ili siku pesa zikipatikana mtaajiriwa.

  Karibu sana kwenye wizara ya wababaishwaji na wapigwa danadana wasiojua kudai haki zao za msingi kwa kigezo cha haiba!!
   
 11. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wangu unakumbuka wale wamwaka jana (2011) walipangwa january 20 so i think it will be the same, so be...............
   
 12. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  post zaweza toka jumatatu tareh 17-10-2011:; tumaomba muwewavumilivu kama wananchi wa igunga, zoezi limesha kamilika tunasubiri hazina wakamilishe mchakato wao.
   
 13. S

  Spellan JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nahisi mwaka huu hawataajiri!
   
Loading...