Nyie BRN MNA kelele, au ndo kitaa hakusomeki mnataka mpakimbie? suala LA kujoin advance linajulikana kuwa July but mmepiga kelele hum kitambo xanaaaa. mnaboa
kitaa kunachokesha mno aisee! daaah
kati ya tar.1 june-16 june will be out bt mkae mkijua watu 27,000 wameachwa kati ya 73,853
Source???
www.pmoralg.com
Kiukwel Ktaa Knaboa Mpak So 4rsh Yaan!
Hakuna website kama hiyo
www.pmoralg.com
website ya tamisemi ndg kama hujui ebu kajipange upya
website ya tamisemi ndg kama hujui ebu kajipange upya
hee kumbe had o level wapo huku....
Madogo hamu ya post isiwafanye mhangaike kiasi hcho kama kutoka zitatoka tu tulieni mda wa kwenda shule ni ule ule hata post zingetoka mwez wa 4 shulen ni mwez wa 7