Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za
ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la
mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya
kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa
mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa
wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia
sasa wanaweza kutoa majina hayo hivyo endelea
kututembelea kwenye blog yetu kwani mda
wowote tukipata taarifa kamili ya orodha
tutaweka punde si punde unaweza wasiliana nasi
kupitia
thomaslugoye@gmail.com/0768248512/
ukurasa wetu wa twitter thomaslugoye/ukurasa
wetu wa facebook thomas lugoye.