Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.

think b4 falsify. all here we posses supple mind! u just make repetation on wat u lie to us!
u just pressuming! be heald in the name of jesus.
 
hahahahaha mwaka huu hakuna form five madogo na kwa taarfa yenu kaka zenu tunafungua shule week ijayo yaan tunasepaaaaaaa nyie subirin hotel management
 
Tulizeni Munkari. Mambo yote hadharani leo wakati Waziri atakapotangaza selection.
 
Wajumbe habar ni kwamba leo ndo ilikuwa the middle day for the minister to announce about 4m4 poxt, vuta xubira mida ndo hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wajumbe habar ni kwamba leo ndo ilikuwa the middle day for the minister to announce about 4m4 poxt, vuta xubira mida ndo hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

munaotoa quote za uongo cjui munawaza nn vchwan mwenu.
 
By yxtel:
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania***

Hiyo haiwezekani utaenda private maan nlion barua moja ktk tovuti ya wizara ikisa wanachukua kuanzia 1.6
 
Tujaribu Kuitazama Siku Ya Leo Kwa Jicho La Pili! Wasipotoa Na Leo Basi Mm Naahrisha Tu Kwenda Advance Naanzisha Tu Bustan La Kulima Nyaya



Lakn Wakizitoa Tujulishane


Mtazamo Wangu Huo!
 
Hivi kwa mtu aliyebalanc comb zote kasoro zenye mathematics na anasoma science,, halaf Math ana 'F' je anaweza kusoma CBG au PCB?????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…