Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
leo ndio leo wakuu kutoa post lazima wale 2naoenda xhule za boys tupu tujiandae mapema manzi wako kamuage kwa mara ya mwisho
 

da yaani me wameniboa sana kuzungumza mambo ya sugu bunge alaf ni mambo ya ki_familia kwani si kuna vitengo maalumu vinavyo husika yaani da wabunge sijui wana akili gan.???
 
nusu kwenye glas nusu bob male!!!!!!!!!
jomakin kagundua kua SIRI_KALI MBWA KOKO.
 
Post za upolisi zimetoka Leo. Ni kwa wanafunzi wote waliomaliza Mwaka Jana.
 
Cheki majina ya Polisi kwanza inawezekana umechaguliwa huko.
 
By yxtel:
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania***
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…