Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
MALUMBANO YASIYOKUWA NA TIJA HAYAFAI...
yote sawa tu...
zitoke zisitoke poa tu...
nipangiwe nisipangiwe shule niliyojaza kwenye sel-fomu fresh tu...
yote kwa yote subira ndio mpango tu...
Hazina ya peo za kufikiri akilini mwangu ndio silaha yangu tu....
THE LAST POST ON ETP.JF ONE LOVE WAKUU.
 

ubarikiwe.mshukur mungu kwa hekima busara vilevile akil alizokupatia!
 
Tulieni mzigo unakuja ulikuwa unasubiri baraka kutoka kwa watu wa necta baada ya tamisemi kumaliza selection. Na hautakuwa kwenye PDF kama mlivyozoea. Wametengeneza system ambayo utakuwa unasearch selected students according to centre. Baraza la mitihani wakiyabariki kesho mapema yatakuwa hewani kwenye website ya pmoralg and necta
 

Mkuu unantisha kwa uo uzi maana umeeka misistizo yote
 

upo seriouz o n kutulusha roho tyu wenzio tumechoka kuckia taalifa za kusadikika evryday@#ben
 

mkuu,hii inaitwa nyembe,humkati mtu hapa
 
yan mm siamini kabisaaaa maana kila cku tunarushwa tarehe tu mm hata wakisema lin caminiiiiii
 
By yxtel:
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania***
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…