seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
mkuu,Inabidi wakati mwingne nijifariji kwa bata za hapa na pale lakini mmmmh majangaaa.....
Serikali hawataki kutoa post mpaka nimpe mimba mtoto wa nyumba ya pili hapa afu niende jela miaka 30 miee maana mtoto mwenyewe mwanafunzi halafu mzuriii kichizi.... c kesi hizi jamani ... Doh salareeeeeeeeeee hahahahahahahahaa
HUU MKWALA NI NOUMAAA"NZI akiacha ujinga wake, ipo siku atatengeneza ASALI"... Kweli nmeamini serikali DHAIFU ya CCM imeshindwa kutekeleza majukumu yake hata katika hili....MUNGU IBARIKI TZ NA WALIPA KODI WAKE KWANI VIONGOZI WANASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO....
Ngoja tuone kama mwaka huu watu hawapangiwi wakasome BURUNDI kwa nkurunziza maana mmmmh mpaka leo kweliiiiiiiiiii utadhani wanapanga majina ya wakimbizi wa Burundi..... Hahahaha wanipangie CONGO nikasome mie maana naona hawataki nisome kwenye nchi CCM
Doh mtaani usawa unakaba mpaka mzee anataka anipeleke jkt kwanza nikakomae kabla ya kwenda shule hahahaha.....
Nyerere alikufa na nchi yake bhana kaacha majangaaa tupu Doh CCM hiiiiiii hahaha
MKUU,msisahau kurudi jukwaani mara baada ya post kutoka.
Zinatoka lin wakuu hi
SIO KAWAIDANisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania*******
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
*******msaada ni wajib wakila mtanzania*******
Kesho uhakika mkuu wewe tulia
kesho ya jana iko wapi?