"NZI akiacha ujinga wake, ipo siku atatengeneza ASALI"... Kweli nmeamini serikali DHAIFU ya CCM imeshindwa kutekeleza majukumu yake hata katika hili....MUNGU IBARIKI TZ NA WALIPA KODI WAKE KWANI VIONGOZI WANASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO....
Ngoja tuone kama mwaka huu watu hawapangiwi wakasome BURUNDI kwa nkurunziza maana mmmmh mpaka leo kweliiiiiiiiiii utadhani wanapanga majina ya wakimbizi wa Burundi..... Hahahaha wanipangie CONGO nikasome mie maana naona hawataki nisome kwenye nchi CCM
Doh mtaani usawa unakaba mpaka mzee anataka anipeleke jkt kwanza nikakomae kabla ya kwenda shule hahahaha.....
Nyerere alikufa na nchi yake bhana kaacha majangaaa tupu Doh CCM hiiiiiii hahaha