Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 569
- 927
natangaza rasmi kuzitoa kesho jmosi trh 27 coz nimechoka na kelele zenu.HALAFU HUYO ANAEULIZA SWALI MOJA KILA CKU AACHE2 COZ HAMUWEZ KUMSAIDIA KAMA ANAVODAI(nisaidieni wakuu nimepata c....)NANI ALIMWAMBIA ALEGEZE MSULI? na akiuliza tena!
Kama Post Bado so Shule Itakuwa Lini?
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Kesho utapata tuliza munkariiii
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Kesho utapata tuliza munkariiii
natangaza rasmi kuzitoa kesho jmosi trh 27 coz nimechoka na kelele zenu.HALAFU HUYO ANAEULIZA SWALI MOJA KILA CKU AACHE2 COZ HAMUWEZ KUMSAIDIA KAMA ANAVODAI(nisaidieni wakuu nimepata c....)NANI ALIMWAMBIA ALEGEZE MSULI? na akiuliza tena!
Duh.....!Hi Wizara Na Waziri Wake Kwel Hawana Time Na Sis 4m 4 Wa 2014 Sijuh 2mekosa Nn Kwao Tumechoka Kujb Maswal Mitaan Et Post Ln Dah.....!Kiwaziri Kiko Bize Wana Jf Ni Time Ya Kufanya Madiliko Ktk Serikal 2pige Kura Kwa Uchungu Na C Kuangalia Upenz Wa Chama Note Maendeleo Kwanza Chama Badae
mkuu tutashukuru sana kama zikitoka kesho
zitatoka leo
Tomorrow must be out
Kesho utapata tuliza munkariiii
Jamani wana jamvi naomba msimponde aliye ipost Hiyo maada kwa ukwel serikali yetu haina muda na elimu mtiahani watu walifanya mwezi Nov mwakani tokeo ilitoka mwezi wa 2 madogo wanatakiwa kuripoti mashuleni mwezi July Lkn mpaka sasa selection Bado na hawajui wataenda, wapi na combination gani na uwezo wa mzazi ukoje Jamani CCM wameoza kwa ukwel hamna namna nyingine
Duh.....!Hi Wizara Na Waziri Wake Kwel Hawana Time Na Sis 4m 4 Wa 2014 Sijuh 2mekosa Nn Kwao Tumechoka Kujb Maswal Mitaan Et Post Ln Dah.....!Kiwaziri Kiko Bize Wana Jf Ni Time Ya Kufanya Madiliko Ktk Serikal 2pige Kura Kwa Uchungu Na C Kuangalia Upenz Wa Chama Note Maendeleo Kwanza Chama Badae
kama huna uhakika ni bora kutulia tu kuliko kupotosha jamii