Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Nisaidie mkubwa eti Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ijapokuwa na GPA ya 1.3
 

da kwel bwana sadic madogo watulie tu kwan haraka haraka haina balaka serikal haitak kurudia kosa la mwaka jana kupanga post mara mbili
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Wajomba eeh 2kaushe then tujikaze post zpo njian

hizi kauli(wajomba) na kutumia (2) badala ya (tu) tulizikimbia facebook na tena mnaanza kuzileta huku great thinkers,ebu jiangalie kwa mara nyingine kama kweli we ni great thinker halafu ndo uendelee kubakia humu ndani au uliza kuhusu rules of jamii forum
 
Vumilieni hadi mwezi wa 7 kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu ila jiandaeni waliopata kuanzia G.P.A 1.6 kuchaguliwa ni uhakika
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…