Dah...!Hawa Jamaa Wanaleta Kero Kabsa Inauma Kwel.Yaan Had Leo[post] Kimyaaaaa Kwel Elimu Ya Tz Inashuka Lkn Uwez Kujifunika Na Kwel Kama Unakokwenda Ukujuh Uwez Ukapotea Hivyo Ndivyo Ilivyo Tz Ya Ccm
masela eeh tutulie tu kutoka post lazima zitoke tu japo inauma sana kutucheleweshea tumezungumza sana ila hatusikilizwi, "hii ndo tzbongo prezida na vibaraka wake wagumu wa kutoa maamuzi;wapo hai kimwili kiakili wameshakufa"
~weakness of attitudes becomes weakness of character.:
-inaillah wa inalillah rajoon serikali yetu ameen.
Kuchelewa kwa post zenu kunatokana na matatizo yanayojitokeza matumain yetu hadi kufikia 24 june kila mmoja awe amepata post yake so tunajitahidi kuzipeleka posta ili zifike mashuleni kwenu tumepeleka box za shule kadhaa ila shule nyingine bado tunategemea leo tumalize zoezi letu na tukimaliza mapema tutawapa leo leo hizo post zenu ila msiwe na wasiwasi hadi kufikia 24 june naamin kila mmja atakuwa amepata
oya mbna hamtuliii kila siku post post mnajifanya. mnaharaka nani kawaambia hazitatoka au unadhan kupiga kwako kelele humu ndo watazitoa kisa umeandika utumbo wako jiamin kila kitu kinaenda kwa mipango. kilivyo pangwa ndio kitatolewa siku hiyo hiyo sio wewe kuanza kutukana just emagine wahusika wangekuwa ndugu zako ungewatukana kuweni na adabu form 5 mtakuja na mtaichoka tu kama sisi tulivyo ichoka cha msingi tulien hamuwez kuipangia serikal ninyi wapo wengi wenye malalamiko wakisema wasikilizwe mambo mengine hayatafnyika