Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
kwa kweli serikali wasilifanye jambo hili kama utani kwao na kutuchezea akili zetu
 
Sa ivi jipange kusoma km unauhakika wa kufaulu. Mana zitatoka.
Waambie wazazi wajipange kukuandalia pesa ako ya kujikimu mapema usije ukachelewa mana zikitoka mda no mchache unapewa wa kuripoti
 
Tuko ktk hatua ya mwisho ya kupanga majina.
Kueni na subira.
 
wanafunzi wenzangu wa jf hivi kweli serikali yetu iko makini kwa kile inachokifanya ama inatania, huu ni mwezi juni na bado selection hazijatoka hivi elimu ya mtanzania sini magumashi tu. Nimechokaa kukaa kitaa serikali mtoe haraka.
 
wewe ulitaka wangetoa lini na hali ukijua shule ni had term ijayo ila endelea kusubiri bn
 
kwmye comb nina CCB

hapo mkuu unaenda bila chenga make nlickia kwa sayans mwaka huu watachukua had CCD hvyo fanya maandalizi kwan mziki wa advanc si mchezo na istoshe upelekwe hiz shule zet za kina naniii...... hahahaaa!!
 
wanafunzi wenzangu wa jf hivi kweli serikali yetu iko makini kwa kile inachokifanya ama inatania, huu ni mwezi juni na bado selection hazijatoka hivi elimu ya mtanzania sini magumashi tu. Nimechokaa kukaa kitaa serikali mtoe haraka.

wewe mwanafunzi wa jf, mbona unalalamika!
Wanafunzi wenzako wa jf wako wanaendelea na masomo, wewe uko wapi! Acha utoro, huzuria masomo!
 
Zinakaribia wakuu jamaa wameshamaliza kazi data nimepata kwa reliable source
 
Amakweli bora kusubili mtihani kuliko matokeo hasa Post kwani nimetulia na Eatv kwenye kurasa lakini hakuna jipya.
Hadi nimechoka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…