Hivi jamani naombeni kuuliza ivi izi nafasi za jkt kwa sisi tulio tayari kujitolea kwa taifa letu zinatoka lini maana tumesubiri sana tangia mwezi wa saba mpaka huu ni wa kumi plz kwa yeyote mwenye valid information na atujuze nitashkuru sana kwa wote mtakao kuwa na mchango pia ata kwako we2 utakaye amua kukandia na kuponda ushukuriwe