Post yangu ya 3'000

hahahahah
Haya mkuu ila kiduku noma
hongera sana kwa hicho kiduku

thanks.
Nishaongea na salunist wangu, ameniambia kesho niende akakipige bleach kwa juu.
 
Litawachoma wewe na huyo shogako maana ndio msioweza kujizuia.. . . kila mkiniona viroho vinawauma.

roho iniume kisa nimekuona wewe?
Ka!
Kweli chizi hajui kama yeye chizi...
 
unamwona Rais wa Wajinga anavyotema cheche humu.
Ametisha ile mbaya...

Yeahh mimi ni rais wenu, ndio maana nikiamua nawaharibia siku kama hivi mnabaki kuropoka ropoka tu hovyo.
 
Yeahh mimi ni rais wenu, ndio maana nikiamua nawaharibia siku kama hivi mnabaki kuropoka ropoka tu hovyo.

umharibie nani siku wewe?
Hapo unajiharibia wewe mwenyewe, kuropoka jadi yetu ati,
every day, every hour and every single second of our lives.
Sucker!
 
Minakupa hongera kwa hiyo avatar yako
 
Yeahh mimi ni rais wenu, ndio maana nikiamua nawaharibia siku kama hivi mnabaki kuropoka ropoka tu hovyo.
Mama naona Povu linakutoka 2,dah!sema we kwa pumba sikuwezi,Mx
 
Nilijiunga tangu 2006 nikabadili jina 2010 lakini nimepost mara moja juzi tu ila mara nyingi nimekuwa nakomment kwani zina umuhimu gani?
 
Nilijiunga tangu 2006 nikabadili jina 2010 lakini nimepost mara moja juzi tu ila mara nyingi nimekuwa nakomment kwani zina umuhimu gani?

ni-PM nikuambie.
Napenda sana wasio na mambo mengi kama wewe, achana hilo 'gendaheka' hapo juu.
 
Mama naona Povu linakutoka 2,dah!sema we kwa pumba sikuwezi,Mx

ndo alivyo huyo.
Unaweza ukadhani anajichetua kumbe maskini wa Mungu uwezo wake umeishia hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…