Post yangu imechakachuliwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post yangu imechakachuliwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaija, Dec 27, 2010.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita niliandika hapa nikiuliza kama kulikuwa na uhalali wowote wa kumuita EL kuwa ni PM mstaafu, niliandika hivyo nikiwa nalinganisha matendo yake ya kabla ya kujiuzuru na ya sasa, pia nililinganisha matendo yake yaliyomfanya ajiuzuru na matendo ya viongozi ambao kwa uhakika wanastahili kuitwa wastaafu kama vile; Baba wa Taifa, Mzee Kawawa, Mzee Mwinyi, Jaji Warioba n.k.

  Mwisho niliuliza, je, tumpe sifa gani inayoendana na matendo yake badala ya kumuita mstaafu?
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa hapo imechakachuliwaje? au waturudisha nyuma
   
 3. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ninamaanisha tangu nilipoiweka Ijumaa iliyopita ilidumu kwa takribani masaa manne tu, baadaye ikatoweka.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jaribu kuitafuta kwenye 'search'
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Ktika PC yako Top right.

  Nenda My profile,

  Kisha Click private messages

  Check na all started threads, bila shaka utaipata.

  Ukikwama check nami nitakuelekeza tena lakini kwa kuwa pia niliichangia ngoja niitafute kama ipo.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Note:
  Ziko Dirisha moja na Private messages.

  Nenda moja kwa moja ktk threads zako.
  FUATA UTARATIBU
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  tumwite" waziri aliyejihudhuru" wala asiitwe mstaafu kamwe,
   
 9. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tumwite Rich Man from Monduli=RICHMOND
   
Loading...