Post ya 15,000, check hapo kulia

Post ya 15,000, check hapo kulia

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
Dah, nimeamua tu kujipongeza kwa post ya 15,000
Afu bana, mapost meeengi rep power kidogoooo
Ni sawa kuwa na kichwa kikubwa afu napata F
Muwe basi mnaniona ona nyie mnaosahihisha mtihani japo nipate idi amini DADA

Natuma salamu kwenu wote chit chatters, kwa wababa kiwakilishi chenu ni Bishanga, kwa wadada kiwakilishi chenu ni Lizzy.

Basi tukutane niwape makitu adimu. . .
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako bibie.
Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
 
Hongera lakini....................................................................................................................
 
Dah, nimeamua tu kujipongeza kwa post ya 15,000
Afu bana, mapost meeengi rep power kidogoooo
Ni sawa kuwa na kichwa kikubwa afu napata F
Muwe basi mnaniona ona nyie mnaosahihisha mtihani japo nipate idi amini DADA

Natuma salamu kwenu wote chit chatters, kwa wababa kiwakilishi chenu ni Bishanga, kwa wadada kiwakilishi chenu ni Lizzy.

Basi tukutane niwape makitu adimu. . .
Hebu nihesabie posts zangu afu unijulishe kwa PM
 
Tayari nimekujulisha kwa PM.
Siku inbox yangu ikipata PM yako wallah...Ntachezaje twist sasa?

attachment.php
 
Post zikiwa na mashiko,utapata tu credit nzur..hebu endelea kukomaa kongosho!
 
Ina maana hata chit chat tutumia akili za Nyutoni?
Mnatutesa vilaza akyanani..

Post zikiwa na mashiko,utapata tu credit nzur..hebu endelea kukomaa kongosho!
 
Back
Top Bottom