Post ya 15,000, check hapo kulia

watu wanakesha wanalala jf , kisa kuongeza posts!!! idnt care abt idadi ya posts hata zingebaki hapo hapo zisiongezeke, :yawn:
 
wee husikii watu wanafungwa kwa makosa ya 'rep'?

Rep power ni nguvu ya kumbaka umtakaye hapa jf.

Ndo maana nalalamika mbona zangu ndogo? Kuna mtu pawafu sana nammendea akiwa anatoka shamba nimvae.

hahahaahhaaaaaaaaaaa
umenichekesha Kongosho mpaka machozi!!! lmfao!!!

Hongera sana sasa utualike tupambe na kisha tusherehekee.........
 
Kongosho, yule mtu wako pawafu uliweza kumbaka au pawa zako za kubaka bado hazitoshi?
 
Back
Top Bottom