Post na selection za form five 2017/2018 zinatoka lini?

et mpk xx hv yanakaribia kutoa wanaoenda jkt af sie tumewekwa pending tu huyu mama sijui kazi imemshinda
 
hivi nyie madogo mnafikiri selection zikitoka ndo unaenda shule. nyie vp kaa kitaa kwnza
 
et mpk xx hv yanakaribia kutoa wanaoenda jkt af sie tumewekwa pending tu huyu mama sijui kazi imemshinda
Na wewe mtaani kwako wanakuita msomi unaye tumia x et "mpk xx hv" hivi ni nani aliye waroga enyi watoto wa kizazi cha digitali? Mimi huwa sitarajii kuona mtu tena graduate wa form four au six na kuendelea unafanya upuuzi kama huo halafu hapo utakuta ni kijana wa kiume unayefanya upuuzi huu... Hizo xxxx kazitumieni huko Facebook sio huku.
 
Form five selection ni lini jamani. Kuna shule za private zilianza masomo ya a level March, 2017!. Za serikali mpaka leo hata machaguzi bado. Ndalichako , you are failing terribly! With this new system of university application, abandoning CAS, we are done! Ndalichako, you are failing!
 
Usiku saa 23:59
 
Na wewe mtaani kwako wanakuita msomi unaye tumia x et "mpk xx hv" hivi ni nani aliye waroga enyi watoto wa kizazi cha digitali? Mimi huwa sitarajii kuona mtu tena graduate wa form four au six na kuendelea unafanya upuuzi kama huo halafu hapo utakuta ni kijana wa kiume unayefanya upuuzi huu... Hizo xxxx kazitumieni huko Facebook sio huku.
mkuu hata baraza walipokuwa wanasahisha makaratasi yangu niliwaandikia hivyo hivyo tu na bado nikagonga div two! we kama nan unipangie aisee
 
Back
Top Bottom