Wizi pia umechangia kwa kiasi kikubwa.
Hofu ya vita ambayo CCM iliwajaza wananchi hasa wa vijijini
Uelewa mdogo kwa wapiga kura. Na mtaji mkubwa wa wananchi wasiojua haki zao na kuwaona wapinzani kama ni maadui
Wizi pia umechangia kwa kiasi kikubwa.
Hofu ya vita ambayo CCM iliwajaza wananchi hasa wa vijijini[/COLOR]
Uelewa mdogo kwa wapiga kura. Na mtaji mkubwa wa wananchi wasiojua haki zao na kuwaona wapinzani kama ni maadui
Wana JF;
Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na propaganda nyingi sana ambazo hazijawahi kusikika.
Kuna baadhi waliamini kabisa kuwa Dr.Slaa na CHADEMA wangeshinda katika Uchaguzi Mkuu 2010.
Kwa maoni yangu baadhi ya sababu zilizoifanya CHADEMA na Dr. Slaa washindwe ni pamoja na:
1. Kutokuwa na Mtandao mkubwa wa chama na wanachama na hivyo kukosa kuwafikia wapiga kura wa uhakika.
2. Maandalizi duni ya ki-organaizesheni katika kampeni
3. Ukosefu wa rasilimali za kutosha katika kampeni hasa fedha
Je kwa maoni na utafiti wako ni sababu gani zingine zilizofanya Dr.Slaa na CHADEMA wasishinde Uchaguzi Mkuu 2010?
Superman... unamaana gani "wameshindwa"? maana ukiniuliza mimi nitakuambia walioshindwa ni CCM kulinganisha na matokeo ya 2005. Kwa kila kipimo.. hakuna mahali ambapo CCM imeongeza viti au kura. Lakini naweza kukuonesha mahali ambapo Chadema imeongeza viti na kura (ndio kushinda kwenyewe). Ama ushindi ni kuwa Rais tu ndio tunaweza kuuhesabu kuwa ni ushindi?
Wana JF;
Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na propaganda nyingi sana ambazo hazijawahi kusikika.
Kuna baadhi waliamini kabisa kuwa Dr.Slaa na CHADEMA wangeshinda katika Uchaguzi Mkuu 2010.
Kwa maoni yangu baadhi ya sababu zilizoifanya CHADEMA na Dr. Slaa washindwe ni pamoja na:
1. Kutokuwa na Mtandao mkubwa wa chama na wanachama na hivyo kukosa kuwafikia wapiga kura wa uhakika.
2. Maandalizi duni ya ki-organaizesheni katika kampeni
3. Ukosefu wa rasilimali za kutosha katika kampeni hasa fedha
Je kwa maoni na utafiti wako ni sababu gani zingine zilizofanya Dr.Slaa na CHADEMA wasishinde Uchaguzi Mkuu 2010?
MKJJ, tunaweza kuanzisha thread nyingine ya kwa nini CCM safari hii Rais amepata kura kidogo kuliko 2005 au kwa nini wamepoteza majimbo mengi safari hii ukilinganisha na 2010.
katika thread hii ni kuangalia kwa nini CHADEMA hawakushinda na kuwafanya waunde serikali.
Japo wameshinda kwa kuongeza majimbo na kura za Urais kuliko 2005 lakini bado hawajaweza kuunda Serikali. Tunapenda tuweke wazi sababu zote.
Chadema haikuwa na walinzi wa kura za Uraisi kama ilivyokuwa kwa wabunge.Asante Nicky,
Mpaka sasa tuna sababu hizi:
1. Kutokuwa na Mtandao mkubwa wa chama na wanachama na hivyo kukosa kuwafikia wapiga kura wa uhakika.
2. Maandalizi duni ya ki-organaizesheni katika kampeni
3. Ukosefu wa rasilimali za kutosha katika kampeni hasa fedha
4. Tuhuma za wizi wa kua umechangia kushindwa kwao
5. Hofu ya vita ambayo CCM iliwajaza wananchi hasa wa vijijini na kuogopa kuwapigia kura
6. Uelewa mdogo kwa wapiga kura juu ya mageuzi.
7. Ukosefu wa Elimu ya Uraia kuwafikia wengi na hivyo kusababisha wananchi kutokujua haki zao na kuwaona wapinzani kama ni maadui
Je kuna sababu zingine?
Hivi kikweli kweli CHADEMA wameshindwa au CCM wamechakachua matokeo na kuyafanya yawaonyeshe wao ndio washindi? Enthusiasm iliyokuwepo kwa Slaa hailingani kabisa na matokeo. Hayo ndiyo maoni yangu...
Wana JF;
Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na propaganda nyingi sana ambazo hazijawahi kusikika.
Kuna baadhi waliamini kabisa kuwa Dr.Slaa na CHADEMA wangeshinda katika Uchaguzi Mkuu 2010.
Kwa maoni yangu baadhi ya sababu zilizoifanya CHADEMA na Dr. Slaa washindwe ni pamoja na:
1. Kutokuwa na Mtandao mkubwa wa chama na wanachama na hivyo kukosa kuwafikia wapiga kura wa uhakika.
2. Maandalizi duni ya ki-organaizesheni katika kampeni
3. Ukosefu wa rasilimali za kutosha katika kampeni hasa fedha
Je kwa maoni na utafiti wako ni sababu gani zingine zilizofanya Dr.Slaa na CHADEMA wasishinde Uchaguzi Mkuu 2010?
kiukweli ccm walikuwa wanatumia mno vitisho kwa wanachi hasa wa vijijini kuhusu upinzani, ndo maana watu wa vijijini waliowengi ukiongelea upinzani wanajua unaongelea vita, mi nafikiri kuna haja ya elimi kubwa ya uraia kwa watu hawa ambao akili zao zimedumaa kwa umaskini wao na ujinga ulioletwa na ccmhii hofu sio vijijini tu hata mjini, rafiki yangu mmoja dar aliombwa na bibi mmoja amsaidie kutia tick sehemu ya mgombea anaemtaka, bibi alikuwa anamwonyesha kwenye picha ya kikwete, jamaa yangu akamuuliza kwa nini unamchagua huyu na sio huyu hapa ( akimwonyesha Slaa), yule bibi akasema "sina miguu ya kukimbilia baba vita ikitokea", so ni kweli wananchi wametishwa na wakatishika