POST GRADUATE YA FINANCE au YA PROCUREMENT?

MimiT

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
599
388
Nipo njia panda, nafikiria kusoma post graduate, naomba ushauri kati ya finance na procurement, ipi soko lake la ajira ni kubwa?
help please wana jf....
 
soma post procurement,post finance haina professional board Tanzania kwa hiyo utakuwa mtu wa kawaida tu,labda kama unataka soma MBA finance hiyo inasoko.
 
Postgraduate ndio nini? Postgraduate Diploma au Postgraduate Degree?
 
Post graduate ya procurement huwa ina hucka na mambo gan?
Na utafanya kazi maeneo yapi?
 
Zote hazina soko.
procurement utasota kutafuta ajira kama fani zingine lakin ukipata umaskini bye bye bye hao ndio wazee wa 10% na manunuzi yote ya umma yanafanywa na ww kwa kufuata procurement act kama huutaki ufisadi,
 
Back
Top Bottom