post graduate diploma of law.

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa juu ya chuo nachoweza soma post graduate diploma of law na sifa stahiki za kujiunga na kozi hiyo. Na je,kozi hiyo inaweza kunifanya kuwa wakili wa kujitegemea?Nitashukulu!
 
Kuwa wakili lazima usome Law School na kufaulu mtihani
 
Nenda RUCO iringa wanatoa iyo course, ila sijajua kama unaweza kuwa wakili wa kujitegemea, ngoja wataalamu waje!
 
Kuwa wakili hata kama una Masters sijui Phd lazima upitie Law School of Tanzania kwa sasa
 
Law school of Tanzania wana award postgraduate diploma in legal practice, lakini kigezo cha kujiunga pale ni lazima uwe na degree ya kwanza ya law, yaani LLB. Ukifaulu hiyo postgraduate diploma, unaapishwa kuwa advocate.
 
Back
Top Bottom