Possible za written na oral interview kwa kada za afya

Pagani Zonda

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
699
Reaction score
487
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
 
Pambana na writtern kwanza...izo interview ambzo hazinaga prac iyo writtern huwa ni "heavy weight" soma sanaaa,...gusa sana chart gpt pale maswsli ya kutosha utapata mwanga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…