POSITIVE MENTAL ATTITUDE (PMA) Ni nini?

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
411
Points
0

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
411 0
Positive Mental Attitude ni kitu gani hii na inamsaada gani maishani mwetu?
Kuwa na tabia ya mtizamo chanya (Positive Mental Attitude) ni kitu muhimu sana maishani, iwapo tutashindwa sisi wenyewe kuweza kujiona katika mtizamo chanya je ni nani ataweza? Sote twaweza kujenga tabia ya kuwa na mtizamo chanya na kujiamini zaidi na pia kuhamasika kuwasaidia wengine pia kuwa kufanikiwa maishani.

Napoleon Hill anasema:
“A positive mental attitude is the starting point of all riches, whether they be riches of a material nature or intangible riches.“

na Wallace D Wattles anasemaje?
"To think health when surrounded by the appearances of disease or to think riches when in the midst of the appearances of poverty requires power, but whoever acquires this power becomes a master mind. That person can conquer fate and can have what he wants."

SOMA ZAIDI HAPA kupata simulizi tano za PMA
 

Forum statistics

Threads 1,389,976
Members 528,065
Posts 34,040,174
Top