position za kazi viwandani

Swali lako ni pana sana,unamaanisha nafasi ya kitaaluma (professional) kama Mhasibu, HR, Engineer n.k au kazi za kutumia nguvu.
 
Kwanza hakuna kazi ya professional kidato cha sita hilo ni moja.Kwa hiyo ukitaka kazi ya kiwandani ni lazima utafute kazi za mikono sawa na ambaye hajakanyaga shule,suala la kuwa msimamizi halitategemeana na wewe kuwa kidato cha sita bali uzoefu katika kazi husika.
 
Nakwambia hivyo kwa sababu mimi ni HR katika kiwanda,naelewa ninachokwambia.
so nachohitaj niwaambie nina uzoefu flan wao wamenambia jichagulie position
em nisaidie tu angle ya kufit nijidai hapo nina uzoefu
 
Duuuh wewe mshikaji noma.... kama ni form six wewe nenda tu kwa kazi yoyote ile hata ikiwa ya kinyonyaji wewe piga tu
 
so nachohitaj niwaambie nina uzoefu flan wao wamenambia jichagulie position
em nisaidie tu angle ya kufit nijidai hapo nina uzoefu
mmmmh!!wamekwambia ujichagulie position! hiyo kali. Chagua kuwa Managing Director haa!haa! jokes.Hapo sasa inategemeana na hicho kiwanda wanafanya nini na kama una kauzoefu kidogo na hicho wanachofanya.
 
kazi za viwandani unapanda cheo kutokana na uzoefu wa muda uliofanyakazi,huwezi ukaanza kazi kwakupanda cheo tu mpaka utaabike ndo utafaidi matunda otherwise uombe kazi za salesman au ufundi/operator
 
Back
Top Bottom