PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
.....kutunga sheria kwa Wabunge hizo ni Hypothesis; mtu mwenye Elimu ya Darasa lama kama yule MBunge wa Lorya unafikili atatunga sheria gani????- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?
William.
in reality wao wanapitisha tu hizo sheria kwa kusema NDIYOOO, NDIYOOO na Kuunga mkono mia kwa mia kila HOJA hata kama ni ya kipuuzi.
Kama kazi imewashinda ya kutetea maslahi ya wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla waachie ngazi.