Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Hii ya kupeleka wasanii wote Segerea ni nzuri, waonaje kama tungeanzia na wasanii waliochota fedha za EPA kuingilia madarakani, pamoja na hao waliofaidika na matunda hayo ndio kisa wanalindana?.-
- One of this day, nitachukua waya wa umeme na kupitisha ndani ya vichwa vya wa-Tanzania wengi sana, maana huu usingizi hauna mfano, I mean man amuka hawa Hosea na Sitta wote they belong to Segerea, sasa peleka them now garademiti!
- And yes, I said it they all belong to Segerea!, sasa peleka them now! kwa kutuletea wananchi this foolish Comedy, Sitta alitakiwa at this time awe anatayarisha kikao maalum cha bunge cha kumuwajibisha Hosea, kwanza kwa kuhukumiwa na kamati ya bunge ya Mwakyembe kwa kuhusika na ubadhirifu wa hela za wananchi walipa kodi, pili kwa kulidanganya taifa kwamba Lowassa na Richmonduli hawama makosa yanayo-amount to a crime against our Republic, na tatu kwa kuwatishia nyau wabunge, Full Stop!
Respect.
FMEs!
Waonanaje hata tungewajumuisha na Wale wote waliofanya kampeni chafu kutomia photo shup na waliowatuma?, ndipo tumalizie na kina Hosea na Six, au turudi nyuma zaidi tangu enzi za 'Tingatinga?'.