Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Uero uefa 2016 inaendelea na timu mbili zimeshaingia hatua ya robo fainali-Wales na Poland. Portugal tangia mashindano haya yameanza hawajashinda mechi hata moja. Nimeangalia mechi zao naona kama hawajajipanga,wanacheza mpira usio na mvuto. Hawana viungo wa kumlisha Ronaldo. Wakiingia robo fainali itakua ni bahati yao tu lakini baada ya hapo hawaendi popote kwa mpira huu.