Portable water filtration equipment

reac

Member
Oct 30, 2014
79
65
Sasa unaweza kupata maji safi na salama kutoka kwenye chanzo chako cha maji.

Portable water filter, inafanya kazi ya kuchuja maji,inaondoa bacteria,minyoo/wadudu,kutu, vumbi, mchanga,tope, takataka, chlorine na heavy metals. Kufanya maji yawe safi na salama kwa matumizi ya kunywa.

Haitumii umeme,unaweza kusafiri nayo au kuhama nayo, inafanyakazi kwa muda mrefu, rahisi kufunga na kufanyia maintenance mwenyewe.

Husafisha 120 L/HR. Unaweza kufunga jikoni au popote penye koki.

BEI NI TSHS 120,000
Makumbusho -Dsm
+255718235364
Tupigie tutakuja kukufungia.
Free installation
MIKOANI UNAWEZA KUTUMIWA

upload_2017-7-14_19-36-46.png
upload_2017-7-14_19-37-43.png
upload_2017-7-14_19-38-3.png
upload_2017-7-14_19-38-32.png
 
Attachments

  • upload_2017-7-14_19-37-21.png
    upload_2017-7-14_19-37-21.png
    19.4 KB · Views: 72
Sasa unaweza kupata maji safi na salama kutoka kwenye chanzo chako cha maji.

Portable water filter, inafanya kazi ya kuchuja maji,inaondoa bacteria,minyoo/wadudu,kutu, vumbi, mchanga,tope, takataka, chlorine na heavy metals. Kufanya maji yawe safi na salama kwa matumizi ya kunywa.

Haitumii umeme,unaweza kusafiri nayo au kuhama nayo, inafanyakazi kwa muda mrefu, rahisi kufunga na kufanyia maintenance mwenyewe.

Husafisha 120 L/HR. Unaweza kufunga jikoni au popote penye koki.

BEI NI TSHS 120,000
Makumbusho -Dsm
+255718235364
Tupigie tutakuja kukufungia.
Free installation
MIKOANI UNAWEZA KUTUMIWA

View attachment 542282
View attachment 542285View attachment 542286View attachment 542287

upload_2017-7-16_11-59-20.png
 
Mkuu ina maana kama maji ya sehemu husika huwa yana chumvi nikiifunga chumvi huchujwa na hatimaye kupata maji yabaridi?
 
Mkuu ina maana kama maji ya sehemu husika huwa yana chumvi nikiifunga chumvi huchujwa na hatimaye kupata maji yabaridi?
Hapana mkuu, hii mashine haibadilishi chumvi wala Ph, kiujumla haina chemical imewekwa trap slits tu kwa ndani ambazo hazionekani kwa macho. Inasafisha maji tu na kufanya yawe clear,safi na salama.
 
Back
Top Bottom