Portable dvd prayer needed

Gele vaheke

Senior Member
Mar 22, 2012
138
6
Habarini wana kijiji Kwa anae jua wanapo uza hizi dvd prayer anijuze iwe used au mpya na bei na nchi
 
Ni tv ambayo ina muundo wa lap top ina uwezo wa kutumia cd. usb. Na kazarika asante kwa kutaka kujua zaidi u google
 
Zinapatikana K/koo, piga namba hii +255659142003. Ni mwenye duka linalouza vitu hivi.
 
hivi DVD prayer ni kifaa gani .... au mimi nipo nyuma na technology?

wewe upo nyuma sana ya teknolojia....ni dvd inayosali kwa niaba yako.:laugh::laugh:
jamaa kaongeza na kazarika,kwa zaidi google.
Ha ha ha
OTIS
 
aah wajameni amekosea spelling muelewesheni,nina uhakika mnajua alichokiuliza
 
Mi nahisi kuna mkono wa mtu kwenye post hii hai wezekani ni kakosea mara nyingine haya na rudia portable dvd player
 
hivi DVD prayer ni kifaa gani .... au mimi nipo nyuma na technology?

Duh, naona watu mshakuwa computer now, herufi moja kukosewa ndo huelewi?
Ok, jamaa anahitaji DVD Player, kwa yeyote mwenye nayo amsaidie. Hope LAT na OTIS mmeelewa now..!
 
Last edited by a moderator:
Duh, naona watu mshakuwa computer now, herufi moja kukosewa ndo huelewi?
Ok, jamaa anahitaji DVD Player, kwa yeyote mwenye nayo amsaidie. Hope LAT na OTIS mmeelewa now..!

mkuu technology imepiga hatua
Hii dvd za maombi pia zipo
OTIS
 
kama bado waitaji nicheki hewani zipo brand new na zina suport memory card,flash,,zina TV etc..0713388226
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom