Huko mji kasoro bahari, uliko mlima uluguru kuna mama mmoja mitaa ya Nane nane kilipo chuo kikuu cha Jordan amechoma nyumba ya wapangaji wake wanachuo kisa wivu wa mapenzi na mumewe na kusababisha hasara kwa mali na ada za wanachuo hao zilipoteketea wakiwa darasani, eti kumbe mkiwezeshwa mnajiweza hivi eeh???