Pork! Kitimoto! Pork!

Mkuu....vipi ya pale kili time? mbona nilisikia kili town inafunika mbaya
 
Mama Spencer namkubali sana mkuu....wikiendi nyingi sikosekani pale
View attachment 34506

Hii kitu utaipata Iringa Kwa Mama Spencer.

Karibu na Ofisi za Siasa ni kilimo. Karibu sana Mkuu.

The best in Iringa. Kule kwenye mabanda ya CCM ni wachafu Sana.

For more info. ni PM.
 
Wakuu weekend imeanza msisahau wajibu hasa kipindi hiki cha mwenzi mtukufu nyongeza si kitu cha kuuliza.
 
Wateja watapungua mwezi huu! Kwani walaji wengi wamefunga.
 
Kitu chair fire inayoitwa drunk style,inapigwa mixa na konyagi yaani unakula huku unapa stimu,achana na drunk style ukienda na kwenye yale mambo yetu weeeee acha tu.
 
Safi sana, najuwa wapo wakuu wajuwa wapi hiyo mali ghafi inapatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…