Mkuu, ulikaa naye masaa mawili angani, akakuvutia ndani ya moyo wako lakini ukashindwa kujenga walau mawasiliano naye! Licha ya kubadilishana namba za simu walau hata kujua jina laken (ungebahatisha hata kwa kusearch kwenye FB ili kutengeneza mawasiliano). Kaka, ujitahidi walau kuwa charming kwani ingekuwa rahisi wewe kuzoeana naye siyo kukodoa macho tu kodo kodoooo! Haya sasa hangaika kumtafuta JF ukute ni hawa wenye avatar na ID napia wenye comment za kujifanya ni wanaume! Ukikuta PM usiogope ukajiuliza 'mbona ananitongoza mwanaume mwenzangu, mie nimekuwa bwabwa?!'
Mawindo mema kaka, sipati picha unavyochungulia inbox yako kila mara!