Popobawa.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kwa wale wenzetu wa ukanda wa pwani;eti ni kweli kwamba popobawa huwa hataki watu wanaolala uchi wa mnyama na badala yake anapenda wale wanaolala wakiwa wamejijaladia kwa mavazi mengi kama vipande vya jeans,bukta nzito,tracksuits n.k.Popobawa anaamini yule mtu anaelala uchi anapenda kufanyiwa ule mchezo mchafu kwa hiyo yeye anaamua kumkomoa,hampitii kabisa.

We utajisikiaje uki-mind mzigo afu mwenzako atokee eneo la tukio uchi? Kumvua nguo mtu kunaongeza raha ya mambo yetu yaleeee!

Unawakumbusha watu machungu. Kuwa makini ndg.

We utajisikiaje uki-mind mzigo afu mwenzako atokee eneo la tukio uchi? Kumvua nguo mtu kunaongeza raha ya mambo yetu yaleeee!

Haswaaaa!
Hasa kiwe ki2 bkra unakomaa nacho masaa3!

kaka una uzoefu juu ya hilo au ndio unatafta wahanga watuelezee?

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…