Popobawa kaibuka

...vip wewe ni muhanga katika hili??utujuze.
 
Mmh haya bwana kama waweza kuvumilia fupa la kitimoto kwenye tigo yako, basi vumilia tu na kupopobaliwa.
 
Jamani wadau wenye ushuhuda mbona hamjitokezi mkatupa habari hizi kwa undani?
 
Mmh haya bwana kama waweza kuvumilia fupa la kitimoto kwenye tigo yako, basi vumilia tu na kupopobaliwa.

dogo umekua na akili siku hizi...huko chuoni unachukua degree ngapi,?
 
Ngoja tumsubiri huenda anakusanya data, akipata za kutosha atamwagika tu.

hebu mwacheni mjamaa wa watu..kajeruhiwa ndo kaja kusema hapa ili jioni yasijemkuta!...
 
Nasikia dawa yake ndogo unachukua mfupa wa nguruwe unauingiza kwenye tigo haji kabisa

Duh teh teh teh hii kituko nyingine, weka na nyama yake kabisa halafu jipake na mafuta yake kabisa
 
hebu mwacheni mjamaa wa watu..kajeruhiwa ndo kaja kusema hapa ili jioni yasijemkuta!...

Jamani leo nimecheka, mi bado nasubiri majibu toka kwa mwenyeji kama kweli kajeruhiwa ama la.
 
Popobawa kaibukia Pemba anawatesa sana watu usiku.

From what i know ni kwamba the DUDU akishakuchakachua kijitigo kako lazma utangaze otherwise atakuwa akikujia tena kula mzigo...
HOPEFULLY BINGWA NDO UNATUTANGAZIA ILI ASIJE TENA KUKUB*ND*A
 
From what i know ni kwamba the DUDU akishakuchakachua kijitigo kako lazma utangaze otherwise atakuwa akikujia tena kula mzigo...
HOPEFULLY BINGWA NDO UNATUTANGAZIA ILI ASIJE TENA KUKUB*ND*A

Jamaa mbona kapotea jumla?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…