Pope: 'Who am I to judge' gay people?

Pope: 'Who am I to judge' gay people?

Status
Not open for further replies.

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
909
"They say they exist. If someone is gay, who searches for the Lord and has goodwill, who am I to judge?" he added. "The Catechism of the Catholic Church explains this very well. It says they should not be marginalized because of this (orientation) but that they must be integrated into society."

Nakubaliana na Papa,,this is a world of diversity,,who are we judge others? Pope: 'Who am I to judge' gay people? - World News
 
Kama hayo ni maneno yake kweli basi nmeamini "Implementaion of new world order by Luciefer is really running in Vatican" na kiama kinakaribia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Imeandikwa usihukumu ili nawe usije kuhukumiwa, msimamo wangu binafsi ninapinga na kukemea upumbavu wanaoufanya kwani naamini kuna makusudi ya Mungu katika kumuumba Mwanaume na Mwanamke!
 
Hii ipelekeni kwenye jukwaa la mashoga wateteane, pia muweke jukwaa la wahalifu wengine kama majambazi nao wajitetee kuwa wanafanya hivyo kupata kipato
 
Jesus never judge other people and never carry hate against human, even against the worst sinner. More over he told to a group who want to stone Mary of Magdalene , if you have never commit a sin throw the first stone, tat is the example that Jesus never could lead any attack against gays , not even mention the word kill. That is not Christian.
 
Desmond Tutu nae kaja na haya

On Friday, he said he would rather go to hell before going to a heaven that "condemned homosexuality as a sin."
"I would not worship a God who is homophobic, and that is how deep I feel about this," Tutu said at a United Nations' gay-rights campaign function in Cape Town, South Africa. "I would refuse to go to a homophobic heaven. No, I would, say sorry, I mean, I would much rather go to the other place."
 
Duh! This is deep.

Inategemea na misingi ya imani yake labda.

Desmond Tutu nae kaja na haya

On Friday, he said he would rather go to hell before going to a heaven that "condemned homosexuality as a sin."
"I would not worship a God who is homophobic, and that is how deep I feel about this," Tutu said at a United Nations' gay-rights campaign function in Cape Town, South Africa. "I would refuse to go to a homophobic heaven. No, I would, say sorry, I mean, I would much rather go to the other place."
 
"Mat 7:1-5 "Judge not, that ye be not judged [do not judge others if you do not want to be judged by others; everyone will be judged by God]. For with what judgment ye judge, ye shall be judged: and with what measure ye mete, it shall be measured to you again [if you judge others, they will judge you by the same measures]. And why beholdest thou the mote that is in thy brother's eye, but considerest not the beam that is in thine own eye? Or how wilt thou say to thy brother, Let me pull out the mote out of thine eye; and, behold, a beam is in thine own eye [how can you judge someone when you are guilty of the sin yourself]? Thou hypocrite [this is the audience in the context; a hypocrite is one who is not living what he is preaching], first cast out the beam out of thine own eye [FIRST judge yourself and get your own life cleaned up]; and then shalt thou see clearly to cast out the mote out of thy brother's eye [THEN after you get your life straight, you will be able to discern clearly and you are commanded to help clean your brother's eye!]."
 
Wana JF am not a gay,,na sijawahi kuwaza kuwa gay,,na nachukia vitendo hivi kwani ni dhambi na chukizo kwa mwenyezi Mungu,,dini na imani yangu hairuhusu hivyo,,lakini siwezi kumnyima maji gay,,wala chakula,wala malazi wala kumfukuza kazi kwenye kampuni yangu kama tabia yake hainiadhiri mimi na kazi zangu....hilo namwachia Mungu ndiye atakaye mhukumu.
 
Hii kitu itazidi kuigawa dunia hasa Watanzania sababu ya unafiki wa baadhi ya watu,binafsi napinga hii kitu ila siwezi kumnyanyasa wala kumtenga shoga,zaidi sana nikipata nafasi nitamuelekeza yaliyo mema na machukizo kwa Mungu......Tukumbuke kuwa shoga si yule anayefanyiwa hicho kitendo tu,bali pia anayefanya lkn hapa tumekuwa tukiwanyooshea vidole watendewaji tu kitu ninachoona si sahihi.
Mwaka juzi tulikuwa Zanzibar na shirika la ICAP,naamini wengi munajua hili shirika lilikuwa linajihusisha kusadia kupinga na kudhibiti maambulizi ya ukimwi,hivyo zanzibar tulikuwa kwa ajili hiyo hasa kwa vijana wanaotumia dawa za kulevya hasa watumiaji wa sindano,tulibahatika kuongea na vijana kadhaa mateja tena mashoga,mmoja alitueleza jinsi alivyoanza hiyo ishu ya ushoga akisema kuwa mjomba wake aliyekuwa akiishi naye ndiye aliyemuanzishia hilo balaa......ilikuwaje?
Anasema mjomba wake alikuwa anaamka usiku kutoka chumbani kwa mkewe na kumfuata chumbani huyo kijana na kuanza kumwingilia kimwili,hali hiyo alikwenda nayo kwa muda mrefu na ikumbuke kipindi hicho alikuwa bado,anasema alipozoea akawa yy mwenyewe ndio akawa anafanya juu chini akutane na mjomba wake,hali ikawa hivyo mpk familia ilipojua kuwa kijana ni shoga na kwa watu walioshika dini hili ni balaa kubwa,kijana akatengwa lkn pamoja ma kujitetea kuwa mjomba ndiye mwanzilishi hakuna aliyemsikiliza.....na huyu mjomba sio mvivu ktk sala,anahudhuria itakiwavyo.
Sasa wana Jf katika hali kama hii huyo kijana unakutana naye mtaani halafu unamshushia hukumu si kumuonea? tusaidiane tufanye nini kwa kizazi kijacho kwani yumkini hali si shwari tena.
 
Mmh, hili lishakuwa suala mtambuka katika jamii zote

Hata ukienda Mara wapo, ya nini kuukana uhalisia? Japo inauma, lakini nahisi wana haki yao.

Anaedhani ni suala la Wazungu tu, afikiri tena
 
Pope Francis on Monday said "who am I to judge?" gay people as he discussed one of the most divisive issues affecting the Catholic Church.
130729-pope-plane-8a.380;380;7;70;0.jpg
Luca Zennaro / Pool via EPA​
Pope Francis, who gave a press conference on his flight back from Brazil, said he had stayed away from the gay marriage debate on his trip because he wanted to stay positive.


"I have yet to find anyone who has a business card that says he is gay," the pontiff said at a press conference in which he addressed the reports of a "gay lobby" within the Vatican.
"They say they exist. If someone is gay, who searches for the Lord and has goodwill, who am I to judge?" he added. "The Catechism of the Catholic Church explains this very well. It says they should not be marginalized because of this (orientation) but that they must be integrated into society."




..................
LA KWANGU
Ukisoma habari yote iliyoandikwa na NBC(Pope: 'Who am I to judge' gay people? - World News) utagundua kuwa hao waliojaribu kutafsiri alichokisema Pope walikuwa na lengo la kupotosha.

Ukweli (kwa mtazamo wangu) ni kuwa Pope alimaanisha kuwa kama kweli watu hawa wapo, maana anasema hajawahi kuona mtu mwenyekitambulisho kinachomtambulisha kuwa ni mhusika wa dhambi hii, na wamegundua wanachokifanya ni dhambi na sasa wanamtafuta Mungu basi hakuna haja ya kuwahukumu bali waruhusiwe kutubu dhambi zao na Kanisa Katholiko liwakubali kwa mujibu wa Kateksimu za kanisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom